Mwenendo wa urahisi wa ufanyaji biashara nchini
Nafasi ya Tanzania katika viashiria vya urahisi wa ufanyaji biashara duniani kati ya nchi 190
Vibali vya ujenzi
150
Upatikanaji wa umeme
83
Usajili wa mali
146
Upatikanaji wa mikopo
60
Ulinzi wa wawekezaji wadogo
131
Ulipaji kodi
167
Biashara na nchi jirani
183
Utekelezaji wa mikataba
64
Utatuzi na ufilisi
117
Ufunguo: 1- Nchi yenye mazingira bora ya ufanyaji biashara, 190- Nchi yenye mazingira yasiyoridhisha ya ufanyaji biashara
f
in