Kaya Zinapata Maji kutoka Mabwawa/Maziwa nchini Kenya

Kufikia 2019, asilimia kubwa zaidi ya kaya zilizopata maji kutoka kwenye mabwawa/maziwa nchini Kenya zilikuwa katika kaunti ya Wajir (28%). Kitaifa, asilimia 3.3 ya kaya zilipata maji kutoka kwenye mabwawa au maziwa.

Map: Annika McGinnis, InfoNile Source: Sensa ya Watu na Makazi nchini Kenya ya 2019, Juzuu ya IV Get the data